19
May
0
Comments
Jaji Ongaya azuru mahakama ya Kisumu kukagua utendakazi
Jaji msimamizi wa mahakama ya ajira na mahusiano ya kazi (ELRC) Byram Ongaya akiwa katika ziara ya ukaguzi wa utendakazi katika mahakama ya Kisumu. Jaji Ongaya pamoja na msajili wa mahakama ya ELRC Kennedy Kandet walipokelewa na Jaji wa mahakama hiyo Stephen Radido. Jaji wa mahakama ya rufaa Aggrey Muchelule aliungana nao.nn nn